Zali la mentali, ushauri tafadhali

toshiba + iphone plus mazaga kibao kashindwa kutoa 98dollar!?
it smell fishy!
 
Ukisikia wixi wa internet ogopa. Kimbia
 
Hivi hadi hii Leo kuna watu bado wanaibiwa kirahisi hivi???
 
Umeliwa wewe! No and nothing is free anymore in this world! Hiyo hela ni bora umsaidie mwenye shida hapo jirani yako kuliko kumtumia tapeli anayetumia tena kofia ya dini!
 
Huyo ni msenegal na wasenegal wengi wapo katika huo mfumo wa kutapeli..Kuna wanaosingizia wao ni wakimbizi,au watoto wa viongoz wakubwa waliofariki n.k..Achana nao..!!
 
uuuwiiii huto ni tapeli mmoja hivi alishataka kunitapeli hadi mimi but kwakuwa nawajua sikuhangaika kwanza namba anazokupa hata so za uk na ukipiga simu hapokeagi anataka sms tu
 

Weweeee!!!!!......patamu hapo, ngoja tusubiri kifuatacho ITV sasa....
 
Ukiskia wizi wa kimtandao ndo huu...lkn inaonyesha mgeni kdg wa emails may be you came from koromije yesterday lkn wenyeji tunajua hivi vitu are normal and I always shit them..
 
Nimesoma email nikacheka kwa kweli. Hizo email huwa wanazituma sana kwa watu kwa maneno yaleyale. Mimi niliamua kitiririka naye nijue ataishia wapi sasa alivyoniambia or you can come down to senegal n pick by yourself nikaona huyu akili hamnazo nikamtumia picha ya ramani ya africa kumwonyesha ilipo Tz na Senagal. Nikamuuliza down unayozungumzia hapa ni wapi ama hujui hata ulipo ni wapi? Sikumuacha nikamwambia huo utapeli kutumia dini huko tushatoka wewe ndo unaingia? kawafanyie mafala wenzio. Kuanzia hapo hakunijibu akapotezea. Haya mambo ni kuwa makini nayo sana. Logically zawadi zote hizo akose hela ya kukutumia? Imagine huo ulikuwa mwaka 2011. Kumbe bado wanazungusha the sMe emails? Wonders shall never end!
 
Huyo Dr hata mimi alishawahi kunitumia hiyo email nikampotezea
 
Mwambie abaki nayo au auze laptop moja akutumie vilivyobaki kwq pesa atakayopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…