Zakayo Chacha Wangwe atawaza kuipeperusha bendera ya CHADEMA Tarime?

Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
Mtoto wa kwanza wa kamanda CHACHA WANGWE bwana ZAKAYO CHACHA WANGWE ametangaza nia ya kugombea ubunge wa tarime kwa tiketi ya chadema ndugu zangu wadau je taweza kuipeperusha vyema bendera ya chadema toeni maoni yenu
 
swali ni je MBOWE ameacha kinyongo alichokuwa nacho kwa marehemu baba yake mpaka akubali awe mgombea kupitia chama hicho?
 
Kazi imeanza! Kuna Mwita Mwikwabe Waitara, John Heche na sasa Wangwe Junior, hao ni kupitia CHADEMA tu, bado vyama vingine!
 
Mwambieni CDM wanapinga mfumo wa mtoto kufuata nyayo za baba yake hasa kisiasa. Hivyo akajaribu ujasiriamali wa gongo maana siku si nyingi gongo itakuwa na TBS.

Mtoto wa kwanza wa kamanda
CHACHA WANGWE bwana ZAKAYO CHACHA WANGWE ametangaza nia ya kugombea
ubunge wa tarime kwa tiketi ya chadema ndugu zangu wadau je taweza
kuipeperusha vyema bendera ya chadema toeni maoni yenu
 
Tunampongeza kwa kuthubutu. Ni dhahiri kijana ni muelewa,cha msingi awe makini kwani ni rahisi sana kutumiwa na magamba kwa kununuliwa ili atumie skendo chafu ikiwepo ya kifo cha baba yake kukichafua chama.
 
Probably, ulitakiwa kutoa wasifu wake kwanza humu jf na kama amewahi kuhukumiwa kwa jinai, kukisaliti chama chake, n.k kisha wachangiaji wangeweza kuwa na uwanja mpana wa kutoa maoni vinginevyo nakuona kama una elimu ya mbowe hivi!
 
Back
Top Bottom