Kama unachafua jina la biashara ya watu???!!!!
Hata kama ni ajali,huwezi andika vingine???!!!
Kujenga jina sio lelemama jamani tuwe makini
Kuna taarifa kuwa basi la Zakaria limeua watu 5 na wengine kadhaa kujeruhiwa huko Sirari ikiwa inatokea Sirari kwenda Mwanza leo asubuhi. Mwenye taarifa kamili atujuze.
Kama unachafua jina la biashara ya watu???!!!!
Hata kama ni ajali,huwezi andika vingine???!!!
Kujenga jina sio lelemama jamani tuwe makini
Ungesema tu basi la kampuni (jina) inasemekana limepata ajali!!!!Sio kuchafua kama unavyofikiria OLESAIDIMU maana hapo nimesema tetesi nakuuliza kama kuna mwenye taarifa hizo atujuze.
Haya pima kichwa cha habari yako!!!Taarifa hii ya ajali ni kweli ilitokea ila kwa taarifa ya R.F.A leo asubuhi ni kwamba alifariki mmoja na wengine watano kujeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Tarime.
Haya pima kichwa cha habari yako!!!
Habari yangu inatofautiana na ndio maana nilisema ni tetesi na pia nikaomba wenye taarifa kamili watujuze OLESAIDIMU.