Zain malik na harry styles

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Wote walikuwa kundi moja ya one direction sasa kila mtu anafanya mziki peke yake. Kati ya harry styles na zain malik nani anajua zaidi au wewe unampenda nani zaidi? Upande wangu mimi naona harry styles anajuwa kuliko zain malik.

Harry styles ameimba nyimbo kama sign of the times na sweet creature.

Sign of the times




Sweet creature




Zain malik ameimba nyimbo kama pillowtalk na let me

Pillowtalk



Let me

 
Zain Malick huyu jamaa noma. Video zake ni kama movi flan hivi....
Tatizo zain nyimbo zake zinazofanya vizuri zote ni alizowashirikisha wasanii wengine lakini alizoimba mwenyewe hazifanyi vizuri sana tofauti na harry styles
 
Harry Styles album yke Harry Styles naikubali sn na uwa ucku lazima niisikilize
 
Zayn Malik mkali aisee..let me bonge nyimbo
 
Mkuu kumbe na wewe unashushaga album huko songslover.com??
Haaah ndo site yangu pekee ya kushusha album toka mwaka 2010 enzi izo ikifika saa sita ucku airtel mb ni bure nilikuwa na download sana
 
Haaah ndo site yangu pekee ya kushusha album toka mwaka 2010 enzi izo ikifika saa sita ucku airtel mb ni bure nilikuwa na download sana
Sema siku hizi kama imekuwa nzito hivi??
 
Sema siku hizi kama imekuwa nzito hivi??
Ndio sio km zamani ambapo hata kwny cmu ulikuwa una download fasta nahisi ni kutokana na kubadilika kwa website design yao
 
Umenikumbusha
One direction
5 second of the summer
The vamps

Hizi band za hawa madogo sijui zimefia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…