Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,706 Reaction score 6,941 Apr 6, 2013 #1 Jamaa mmoja alifiwa na mkewe akawa na huzuni.. Mara akashika chupi ya mkewe na kuanza kulia sanaaa...! Akaulizwa; "kulikoni, mbona kilio kimeongezeka ghafla?" akajibu huku akiionesha ile chupi, NAKUMBUKA KILICHOKUWEPO HUMU.
Jamaa mmoja alifiwa na mkewe akawa na huzuni.. Mara akashika chupi ya mkewe na kuanza kulia sanaaa...! Akaulizwa; "kulikoni, mbona kilio kimeongezeka ghafla?" akajibu huku akiionesha ile chupi, NAKUMBUKA KILICHOKUWEPO HUMU.
Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,114 Mar 7, 2016 #2 Kwani wengi wanaliaga tu lakini kichwani anawaza papuchi yake..
Benny JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 3,275 Reaction score 5,414 Mar 7, 2016 #3 kabanga atakuja hapa kuandika Aiseeeee....
K kuuuu JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 589 Reaction score 513 Mar 7, 2016 #4 Hahahahahahah uwiiiiiii mbavu sina
peter olomy Member Joined Apr 4, 2015 Posts 8 Reaction score 3 Mar 7, 2016 #5 Haaa jmn mbavu zangu duhhh
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,940 Reaction score 3,303 Mar 9, 2016 #7 Duh tangu ianzishwe hii thread April 06, 2013 almost 3 years later inapata wachangiaji...... inatia huzuni.
Duh tangu ianzishwe hii thread April 06, 2013 almost 3 years later inapata wachangiaji...... inatia huzuni.
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Mar 9, 2016 #8 Mtali said: Duh tangu ianzishwe hii thread April 06, 2013 almost 3 years later inapata wachangiaji...... inatia huzuni. Click to expand... Sijui ilijificha wapi
Mtali said: Duh tangu ianzishwe hii thread April 06, 2013 almost 3 years later inapata wachangiaji...... inatia huzuni. Click to expand... Sijui ilijificha wapi
C chifu77 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 902 Reaction score 597 Mar 10, 2016 #9 Mtali said: Duh tangu ianzishwe hii thread April 06, 2013 almost 3 years later inapata wachangiaji...... inatia huzuni. Click to expand... Huzuni gani sasa na wewe!!
Mtali said: Duh tangu ianzishwe hii thread April 06, 2013 almost 3 years later inapata wachangiaji...... inatia huzuni. Click to expand... Huzuni gani sasa na wewe!!
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,027 Reaction score 1,892 Mar 10, 2016 #11 kabanga tokeza huku utie neno lisilozidi herufi 5