Hivi wadau inawezekana pesa za walala hoi zaidi ya b.100 zikaliwa tu na watu ambao hakuna wanachofanya BMK?
Jamani waTanzania wanalia sana magojwa kibao, barabara mbovu, madawa hakuna, madawati hakuna ninyi mnagawana tu wakati AKIDI haitoshelezi!
Ipo siku mtatuambia mlichofanya kama ni sahihi