Yaani kuulizwa jibu limetoka kitabu gani tu anataja Ufunuo wa Yohana kweli!
Kitabu cha ufunuo ndiyo analinganisha na upuuzi wa mitandaoni?
Si bora angesema hilo jibu amelitoa kwenye kitabu cha Juma na Uledi au Sadiki na Chitemo.
Sent using
Jamii Forums mobile app