Souleyhb
Member
- Feb 2, 2013
- 67
- 14
Atimaye yule mwizi wa pikipiki almaarufu bodaboda jana alinasa mtegoni kiulaini huku kwetu Kimara,kama isingekuwa maafande kuwahi basi angegeuka nyama choma,
vijana wanapenda urahisi, mwenzio atafute wewe uchukue. iwe fundisho kwa wengine
mbona picha zinamuonyesha kama vile amekuwa hivyo!?Atimaye yule mwizi wa pikipiki almaarufu bodaboda jana alinasa mtegoni kiulaini huku kwetu Kimara,kama isingekuwa maafande kuwahi basi angegeuka nyama choma,
Halafu ana mkono wa sweta, na cha kushangaza utaona wanatimu wenzake kesho bado wanaendelea na wizi hawaogopi,
Ndo maana marxlup kaweza kuona kama ni member wa HAKATWI MTU HAPA.Mbona kama yupo naked....!
Jambo la kusikitisha
Watanzania wangapi walioshiriki katika tendo la kumtoa uhai huyo kibaka ambao wanaishi bila ya kutenda uhalifu.
Miungoni wa Waliompiga bila ya shaka ni wezi au vibaka wenzake.
Tunatakiwa kuwa na fikra za kina na kujiuliza kutoa uhai na kuripoti kwa kujivuna namna hii . Je imani zetu katika Dini zetu iko juu kwa kiwango gani.
Sina sababu ya kutetea wezi lakini napiga yowe kuwaombea nusra wale wenye kuchukua hatua mkononi mbele ya Muumba.
Halafu ana mkono wa sweta, na cha kushangaza utaona wanatimu wenzake kesho bado wanaendelea na wizi hawaogopi,
Ndo maana marxlup kaweza kuona kama ni member wa HAKATWI MTU HAPA.
Nadhan wezi wote wanagoviHalafu ana mkono wa sweta, na cha kushangaza utaona wanatimu wenzake kesho bado wanaendelea na wizi hawaogopi,
Mbona kama yupo naked....!