Za mwizi 40: Zile bil 200 kati ya tril 1.5 laibuka baraza la wawakilishi lakosa majibu nao hawajawai kuziona au kupewa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Sakata la zile trilioni 1.5 ambazo hazijulikani zimetumika wapi limeibuka katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar mara baada ya mwakilishi kuuliza zile bil 200 zilisemwa zimepewa serikali za mapinduzi mbona nazo hazionekani. Zimepokelewa lini na zimetumikaje na kama zipo mbona hazijapangiwa matumizi.

Majibu ya serikali ya Zanzibar ikasema kuwa hilo swali sio mahala pake na hawezi kulijibu maana ni la serikali kwanini linaulizwa kwenye baraza.

Chanzo: ITV
 
Wapi wamesema hawajawahi kuzionawala kuzipokea? Kama kuna video yake weka. Naona habari haijakamilika.
 
Kama namuona Polepole alivyoumbuka na hesabu zake za kuchukua hapa na kuweka pale mara hazijaiva mara accrued interest. Shame on you ccm na serikali yenu ya majizi
 
Sakata la zile trilioni 1.5 ambazo hazijulikani zimetumika wapi limeibuka katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar mara baada ya mwakilishi kuuliza zile bil 200 zilisemwa zimepewa serikali za mapinduzi mbona nazo hazionekani. Zimepokelewa lini na zimetumikaje na kama zipo mbona hazijapangiwa matumizi.

Majibu ya serikali ya Zanzibar ikasema kuwa hilo swali sio mahala pake na hawezi kulijibu maana ni la serikali kwanini linaulizwa kwenye baraza.

Chanzo: ITV
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
 
Bora Kikwete tulikuwa tunakula nae...
Kweli kabisa wanakula nasisi huku chini tunaokoteza, hawa wasasahivi wanakula wakimaliza wanafagia vilivyodondoka wanakusanya wanatafuna na kusindikizia na vimiminika vya baridi. Olewako uonekana na chembechembe za masalia au harufu ya 'msosi' utajuta.
 
Back
Top Bottom