Za kitambo

Za kitambo

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
150
Wadau kwema?


Hivi ni app gani au Website gani naweza nikapata nafasi ya kupakua zile ngoma za kitambo kuanzia miaka ya 2000 huko kwenye game ya Bongo Fleva.

Mfano ngoma za kina Jay Mo,Ngwair,Ferooz,Profesa J n.k

Nyingi nimekuwa sizipati...

Kwa mfano kuna hizi ngoma mbili nimetafuta saaana bila mafanikio.

1.Jay Moe ft Gwair,Bamboo--NISAMEHE.

2.Ngwair ft Sir Nature,Jay Mo,Ferooz,Dark Master,---MIDA MIBOVU.

Nimetafuta sana ni download....bahata mbaya Boomplay au Audiomak hazina uwezo wa kupakua mazima...


Kuna yeyote anaweza kunisaidia juu ya hili???



#Forgive Me.

download.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom