Z3x 2019 crack

Z3x 2019 crack

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Hello wakuu,
Ninatafuta mwenye crack ya Samsung tool Z3x ya mwaka 2019, au yoyote yenye function ya kure-write imei kwa hizi simu za America kama AT&T na Verizon.
Crack nilizonazo zote sehemu ya repair hakuna imei writing kwa model ya s7 SM G930V.
Nimejaribu Octoplus pia nayo haina hio simu pia.
Help please nirekebishe hii IMEI ilojibadili after custom ROM porting.
Asante.
 
Ww unayo version ipi?
Weka picha tuone unakwama wapi
 
Z3x nnayo v2.95
Model ya g930v IPO, ila hakuna option ya repair IMEI kwa model hio
Octopus nnayo ya 2018 lakini haina s7
Ww unayo version ipi?
Weka picha tuone unakwama wapi
 
Mkuu tatizo crack latest haina option ya kuandika imei...na 28.5 inayo ila model yako haipo..hii ndo shida ya crack
Z3x nnayo v2.95
Model ya g930v IPO, ila hakuna option ya repair IMEI kwa model hio
Octopus nnayo ya 2018 lakini haina s7
 
Mkuu tatizo crack latest haina option ya kuandika imei...na 28.5 inayo ila model yako haipo..hii ndo shida ya crack
hapo ndio changamoto. japo nimegundua hii model haina repair ya IMEI zaidi ya kuflash Certificate file na EFS ili kurestore IMEI.
napambana kupata Cert file.
 
Back
Top Bottom