Yvonne Sangudi-TANZANITE

Yvonne Sangudi-TANZANITE

vikosi makuruti

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
192
Reaction score
68
ni mtanzania anayeishi USA,,,

asee dada Ana wimbo unaitwa tanzanite,,kiukweli sijaona wimbo mkali wa rnb kwa upande wa wanawake mwaka huu duniani kote,,,I'm sure na ninachokisema,naujua muziki,

kwa aliyeusikia unapigwa sana eastafrica radio ataelewa,,,

NAOMBENI MWENYE NAO ANITUMIE WADAU,,TAFADHALI SANA
 
Safi sana, nimependa unavyoisifia, ntajaribu kuutafuta pia
 
Kupenda kubaya,mwenye chingo unaona kengeza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom