comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la
sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.
Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo
awali, nini kimemsibu?
Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
Mkuu wa chuo kikuu huriaDuh!!! BTW......where is Pinda Mizengo Peter Kayanza??????
alipitia hiyo kazi, rejea historia yakeKwann unamuita jasusi?
We jamaa Ukawa wamekujaje sasa hapa?Naona mzimu wake unawatesa sana UKAWA.
yah ni komredi mwandamiziKumbe ni Komrade???
kwanini mkuu?Tunapojadili mambo ya msingi kwa taifa letu,watu kama Membe hatupaswi hata kuwafikiria.
Membe ni wa kupuuzwakwanini mkuu?
Kwann unamuita jasusi?
Adui yake mkuu kwenye ile ligi ya kuingia magogoni alikuwa LOWASA, sasa badala ya Lowasa kukimbia nchi, Membe amekimbizwa na kivuli tu cha Lowasa maana Lowasa alisha muacha ndani akatoka nje ila kivuli kikafanya yake now membe ni historia.
Haahaaha, alilia lakini yeye" HAKUOMBOLEZA", alijitahidi kumeza maneno.Nasikia na yeye alilia kama yule Dr aliyekuwa mkuu wa mkoa morogoro.
Hujui ni suna kwa wanawake!wewe mwanamke una wivu sana
Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.
Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
eti alikula hela ya ghadafkwanini mkuu?