CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,440
Mwanamke ni mtu kama mama yako alivyo na wivuwewe mwanamke una wivu sana
Yupo Nje ya nchi na kula baada ya mavunoNi muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.
Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
Huyu anatabiriwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti -BaraUnaonekana unamchukia, jiepushe na hilo
nani huyo anatabiriwa, Membe? sidhaniHuyu anatabiriwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti -Bara
Mtu kauliza habari ya membe nyie mmekomaa kukashifu mama zenu. Hamna adabu.Mwanamke ni mtu kama mama yako alivyo na wivu
Yupo likizo, anakula kiinua mgongo.Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.
Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
Nakuacha sikutukaniMtu kauliza habari ya membe nyie mmekomaa kukashifu mama zenu. Hamna adabu.
Duh!!! BTW......where is Pinda Mizengo Peter Kayanza??????Anajiandaa kuwa mkuu wa kale kaidara nyeti pale ikulu !
Over !
Naam sheikhnani huyo anatabiriwa, Membe? sidhani
where is Kinana?Duh!!! BTW......where is Pinda Mizengo Peter Kayanza??????
Awaiting to leave his current position in ccm next month.....where is Kinana?
Thubutu! Umesahau mkwanja wa Gaddafi ?Anaisoma Namba.