lile eneo bado lina uzio tu ila inaonekana wameachia kukaza
huyo anayechungulia nyuma ya bega la kulia la Kanjubhai ni Mzee Akilimali au??
Manji (katikati) akiwasili kwenye ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
Kwa mujibu wa taarifa za ndani ambazo mtandao huu umezipata zinaeleza kwamba jina la Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji inasemekana limeenguliwa kwenye kinyanganyiro cha kuwania Udiwani Kata ya Mbagala Kuu.
Vyanzo vinaeleza kuwepo kwa mchezo mchafu figisufigisu katika kulikata jina lake, wakati alishinda kwa kishindo kwenye kura za maoni akiomba kuteuliwa na chama chake cha CCM kugombea nafasi hiyo
Kama ana kiwanja huko?Bado sijaelewa mantiki ya Manji kugombea udiwani, halafu Mbagala wakati yeye anakaa sea view Upanga..!
Huyo jamaa kulia kwa picha kavaa Tshirt ya JKT!!!