Madabida ana roho mbaya sana yule baba aliye fanana na popo. Embu fikiria mtu ametengeneza ARV fake ndio ashidwe kumkata MAnji
kote ana miji midogo na mikubwa SEA VIEW NI ENEO LAKE LA MAMBO FULANI
swadaktaaaaaaaaaaaa
Ndio wamemkata, nilishangaaa sana walimptishaje mwanzoni. Aibu imewatawala basi wakaamua kumuondoa!1
lile eneo bado lina uzio tu ila inaonekana wameachia kukazanakumbuka sakata la viwanja vya bakwata pale chang'ombe.. Na alivyoweza kuvigawanya fasta viwanja baada ya "kuuziwa" na yeye akaviuza vpande.. Manispaa panamuhusu sana mkuu..