watanzania tunafahamu mchango wa yusuf makamba katika kukijenga Chama cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi mwaka 2015 atachukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania . nadhani kwa upande wa taifa letu hajawahi kutokea mgombea makini kama makamba na nadhani yeye atakuwa ni rais safi kupita wote.
naomba wajumbe tuanze kujadili kazi za makamba na kama kuna mapungufu yake pia kabla hajachukua kiti hiki cha urais
Wewe unaweza kuua watz wote kwa presha..............makamba kuwa rais au rahisi kwa mafisadi?...............kwani makamba na kikwete kuna tofauti gani vile........................?......mi naona wote ni weak leaders, ni viongozi wa majungu, wanaoongea wasichoweza kufanya
tumeamua kumpunzisha makamba ili atapoibuka awe na kasi mpya lakini mpango wa urais wa makamba umeshika kasi na hakuna mwenye uwezo wa kuzuia mwendo na mikakati ya kambi ya makamba