Yupo wapi Waziri wa zamani, Professor Juma Othman Kapuya?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Habari wadau.

Mtamkumbuka sana mheshimiwa Juma Kapuya. Aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini.

Anakumbukwa sana ktk tukio la kufuta mitihani ya kidato cha nne mwaka 1998 akidai ilivuja. Mtihani huo ulirudiwa January 1999.

Pia anakumbukwa kwa skendo ya kulazimisha penzi kwa mwanafunzi wa kike aliyekuwa akimsomesha na sakata hili lilirindima sana mwaka 2013.

Huyu mheshimiwa kapotelea wapi?
 
Huyu hapa

images (1).jpeg
 
Yule jamaa bwana sijui alipotea vipi, baada ya kuenguliwa jimboni kwake ukawa ndio mwisho wake kusikika.

Naona kazira kabisa siasa za ccm. Kwa kuwa nae alikuwa fisadi hataki kabisa kuwashwa washwa kwani anajua litakalomkuta.

Ni miongobi mwa wabunge wa hovyo ktk jimbo la urambo magharibi kabla ya kuwa jimbo la kaliua.

Aliwateka wananchi wa jimbo la urambo magharibi kwa vitu vya kipumbavu kabisa. Alikuwa anaungana na wachawi wote huko usoke, ushokola, na wengine wanaitwa Waswezi ndani ndani kule kuelekea maragalasi kigoma.

Alikuwa akifanya birthday party yake anaalika wananchi wote na sherehe kubwa. Watu walikula na kunywa na walifurahi sana lakini maendeleo ya maana hakuwaletea wanakaliua.

Juma kapuya alikuwa kama mungu jimboni pale wananchi wa pale ni wa level ya chini sana kimaisha ,elimu duni, huduma za afya mbovu sana za kutisha.

Juma kapuya ana Mwanaye anaitwa Baraka kapuya ameweka ngome pale za kibiashara kumbi kubwa za starehe hakuna mfano ndani ya tabora nzima. Kwa hayo ya kujinufaisha basi alupendwa sana na wananchi wajinga. Kuna wakati alipata kibri kupindukia na alituhumiwa kuua mtu.kwa risasi na kesi yake iliisha kimagumashi wakati huo Juma Kapuya akiwa waziri wa Ulinzi( kama sikosei mambo ya ndani).
 
Yule jamaa bwana sijui alipotea vipi, baada ya kuenguliwa jimboni kwake ukawa ndio mwisho wake kusikika.

Naona kazira kabisa siasa za ccm. Kwa kuwa nae alikuwa fisadi hataki kabisa kuwashwa washwa kwani anajua litakalomkuta.

Ni miongobi mwa wabunge wa hovyo ktk jimbo la urambo magharibi kabla ya kuwa jimbo la kaliua.

Aliwateka wananchi wa jimbo la urambo magharibi kwa vitu vya kipumbavu kabisa. Alikuwa anaungana na wachawi wote huko usoke, ushokola, na wengine wanaitwa Waswezi ndanu ndani kule kuelekea maragalasi kigoma.

Alikuwa akifanya birthday party yake anaalika wananchi wote na sherehe kubwa. Waty walikula na kunywa na walifurahi sana lakini maendelei ya maana hakuwaletea wanakaliua.

Juma kapuya alikuwa kama mungu jimboni pale wananchi wa pale ni wa level ya chini sana kimaisha ,elimu duni, huduma za afya mbovu sana za kutisha.

Juma kapuya ana Mwanaye anaitwa Baraka kapuya ameweka ngome pale za kibiashara kumbi kubwa za starehe hakuna mfano ndani ya tabora nzima. Kwa hayo ya kujinufaisha basi alupendwa sana na wananchi wajinga. Kuna wakati alipata kibri kupindukia na alituhumiwa kuua mtu.kwa risasi na kesi yake iliisha kimagumashi wakati huo Juma Kapuya akiwa waziri wa Ulinz( kama sikosei mambo ya ndani).
Daaaaaahhhh, umeongea hadi nimeshutuka
 
Daaah inatisha sana!!!!!!
 
Back
Top Bottom