Sijawahi sikia kuwa alikuwa TGNP.
Huyu mwanamama mwanahabari alikuwa kwenye chama chao cha TAMWA kuliko na wanahabari wanawake wenzake. Mara nyingi TGNP, TAWLA na TAMWA uchanganya watu wengi.
Duuuh, yamekuwa haya tena,nisamehe bure basi kama nimekuudhi, manake si kwa povu hili aisee, huenda wewe ndiye mama Nkya mwenyewe, pole Sana mama Nkya,