Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,851
- 7,767
Hayo ni mambo yake binafsi! Nani asiyejua kwamba alikua na mgogoro na familia/ndoa? Jikite kwenye mada! Mwanaume mdaku wewe!Sasa hv kafulia sana, siasa zimemrudisha sana nyuma kimaendeleo, anauza uza Mali zake kufidia magepu, familia yake pia inampasua Sana kichwa, yaani ni noma juu ya noma
Hayo ni mambo yake binafsi! Nani asiyejua kwamba alikua na mgogoro na familia/ndoa? Jikite kwenye mada! Mwanaume mdaku wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kunilisha maneno dogo..ni wapi nimejinasibu kwamba mwanafamilia? dogo una vielements vya ushilawadu..hebu grow up basi..pumbaf!Samahani mwanafamilia Kama nimekugusa, nimeeleza nachokijua kuhusiana na huyo mama, mtoa Mada hakutoa limitations ya kipi kijadiliwe na kipi kisijadiliwe, nafikiri ni vyema kujadili mazuri na mabaya ili wengine wapate kujifunza kutoka kwenye mapito yake
Samahani mwanafamilia Kama nimekugusa, nimeeleza nachokijua kuhusiana na huyo mama, mtoa Mada hakutoa limitations ya kipi kijadiliwe na kipi kisijadiliwe, nafikiri ni vyema kujadili mazuri na mabaya ili wengine wapate kujifunza kutoka kwenye mapito yake
Siyo kwamba alikuwa ni mkurugenzi wa TAMWA (Tanzania Media Women Association) na siyo TGNP?
Hayo ya kwenda Sweden kuchukua PhD sijui, ni ya wote? Habari ni habari tu mwache jamaa amwage habari anazozifahamu.Hayo ni mambo yake binafsi! Nani asiyejua kwamba alikua na mgogoro na familia/ndoa? Jikite kwenye mada! Mwanaume mdaku wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mnorth pole alikuwa anaporomosha maandiko ya kumtetea mamvi awe rais, naona kwisha habari yake alifikiri watanzania wote mazwazwaAcha kunilisha maneno dogo..ni wapi nimejinasibu kwamba mwanafamilia? dogo una vielements vya ushilawadu..hebu grow up basi..pumbaf!
Pia TGNP, Hiyo nyingine labda sikumbukiSiyo kwamba alikuwa ni mkurugenzi wa TAMWA (Tanzania Media Women Association) na siyo TGNP?
North pole imetoka wapi? Usiigawe nchi yetu vipande, hatutaki hvyo.Huyo mnorth pole alikuwa anaporomosha maandiko ya kumtetea mamvi awe rais, naona kwisha habari yake alifikiri watanzania wote mazwazwa
Huwa nawaambia rafika zangu hawa wanawake wanaojifanya wanaharakati ukiwaafatisha unaharibu ndoa yako huku unaona, ndoa aina uharakati na ndiyo maana Wanaharakati wengi ndoa zinawashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe ndo kabisa umefunua!!Hayo ni mambo yake binafsi! Nani asiyejua kwamba alikua na mgogoro na familia/ndoa? Jikite kwenye mada! Mwanaume mdaku wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app