King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,685
- 94,633
- Thread starter
-
- #41
Hahaha hatari sana mkuu....Mponjoli rafiki yake Mr II.Huyu nlipiga naye sangu sec sema alinizidi vidato...wakat naingia sangu sec hao ndy walikuwa wababe wa shule mgeni
Ukifika lazima ureport kwao
Ila mziki wangu waliona...wenyew walikubali
Ova
Sugu alikuwa sangu nayeHahaha hatari sana mkuu....Mponjoli rafiki yake Mr II.
Sugu alikuwa sangu naye
Sugu tukaja kumpokea hapo Indiana polisi block 41 akiwa na washkj zake cebby na Jerry
Miaka fulani Sugu nlipiga naye kazi BP boss wetu alikuwa mzee mtenga,hyo part time nkaondoka nkamuacha
All in all mpaka leo tunawasiliana
Ndy hivyo
Ova
Sugu alisoma mbeya secondary sema walikuwa washkaji kitown Town pale greencitySugu alikuwa sangu naye
Sugu tukaja kumpokea hapo Indiana polisi block 41 akiwa na washkj zake cebby na Jerry
Miaka fulani Sugu nlipiga naye kazi BP boss wetu alikuwa mzee mtenga,hyo part time nkaondoka nkamuacha
All in all mpaka leo tunawasiliana
Ndy hivyo
Ova
Mponjoli huyu hapa kaingia over the weekend baada ya kumaliza kifungo chake huko USA;-Alikuwa mtu poa sana aisee na kweli alitoka jela akakaa UK. Ila naona amefungwa tena US.
Ni yupi kati ya huyoMponjoli huyu hapa kaingia over the weekend baada ya kumaliza kifungo chake huko USA;-
View attachment 3571946
Mwenye Suriwali na kaperoNi yupi kati ya huyo
Na umri umrsogea sasa wale waliosaidiwa mda wao wakutoa fadhila na kumpa njia za kumalizia uzeeMponjoli huyu hapa kaingia over the weekend baada ya kumaliza kifungo chake huko USA;-
View attachment 3571946
Huyu jamaa hakusoma sang sec Mbeya kweli?
Amekula asali udogoni, utam ungali magegoni....teh😅Mponjoli huyu hapa kaingia over the weekend baada ya kumaliza kifungo chake huko USA;-
View attachment 3571946
Nmesoma naye hapo sema alinizidi kidatoAlisoma sangu mbeya na ni mtoto wa tajiri wa mbeya enzi hizo mzee malakasuka
Mtafute basi mbadilishane mawili matatuNmesoma naye hapo sema alinizidi kidato
Malakasuka namkumbuka
Alikuwa na uwezo uwezo hapo mbeya
In short, mponjoli namjuwa tunafahamiana
Ngj niishie hapa
Ova
Ni mwanae bwana kampa na jina hilo la kinyakyusa gwamaka!Francis kifukwe mke wake ni mzungu na ndo mama yake na huyo mtangazajiS
Sio mwanawe ,dk gamwaka kifukwe, jina la Kati nimelisahau lakini sio francis
Sugu hajasoma sangu kasoma mbeya secondary schoolSugu alikuwa sangu naye
Sugu tukaja kumpokea hapo Indiana polisi block 41 akiwa na washkj zake cebby na Jerry
Miaka fulani Sugu nlipiga naye kazi BP boss wetu alikuwa mzee mtenga,hyo part time nkaondoka nkamuacha
All in all mpaka leo tunawasiliana
Ndy hivyo
Ova
Mponjoli huyu hapa kaingia over the weekend baada ya kumaliza kifungo chake huko USA;-
View attachment 3571946