tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,437
- 4,791
Anafanya kazi.
nan alikimbilia Kenya mbongo fleva?Daah,alitamba sana.wanamziki bongo fleva,ya kitambo washapigwa chini.
Wajanja,walikimbilia kenya
Kama Piter Msechu ha ha..Jamaa yupo anakula maisha, ukimuona utadhani umemuona marehemu captain komba ana tumbo kubwa kama la mimba ya miezi 13