M MONEY IS NOT EVERYTHING JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 2,171 Reaction score 3,057 Sep 7, 2026 #21 aAllen said: Watapata tabu sanaaaaaaaa! Yupo wapi Kamanda huyu wa polisi alikua Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma? Ali-trend sana na slogan yake ya "Watapata tabu sanaaaaaa!" Click to expand... Dodoma vibaka na majambazi waliipatapata..Sijui atakuwa wapi. Mimi nilimkubali sana.
aAllen said: Watapata tabu sanaaaaaaaa! Yupo wapi Kamanda huyu wa polisi alikua Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma? Ali-trend sana na slogan yake ya "Watapata tabu sanaaaaaa!" Click to expand... Dodoma vibaka na majambazi waliipatapata..Sijui atakuwa wapi. Mimi nilimkubali sana.