Yupo wapi Kamanda Gilles Muroto?

Yupo wapi Kamanda Gilles Muroto?

Huenda kuna mahali watu wanapata tabu huko...
Nakumbuka alikuwa OCD Arusha mjini kipindi cha kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo wa kata zile tano katika uwanja wa Soweto aisee aliwaletea wananchi tabu mixa mabomu ya machozi acha watu wakimbiane na kupoteza baadhi ya vitu vya thamani mfano simu, viatu, n.k.
 
Sasa nguvu zile zimemtoka..anaishi kawaida. Maisha mafupi sana..
 
Watapata tabu sanaaaaaaaa!!!
Yupo wapi KAMANDA HUYU wa POLISI alikua kamanda wa polisi mkoa DODOMA ali trend sana na slogan yake ya WATAPATA TABU SANAAAAAA
Kuna kile kipigo Cha mbwa Koko ukiandamana.
 
Sasa uzee unampiga kipigo cha mbwa koko,

Madaraka hana, anasalimia kila anaekutana nae,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Hahaaaa so akiona Mbowe yuko Ikulu kwenye dhifa ya makamu wa rais wa Marekani haamini macho yake ..... Nadhani alikuwa hajaelewa watu wanaposema politics is the dirty game...
 
Back
Top Bottom