uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Hao Mwalimu Julius Nyerere aliwaita Malaya wa kisiasaHawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi
Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia
Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media
Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo
Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema
Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu
Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?
Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Rungwe nilimsikia ishu bandariHata Kamanda Hashimu Rungwe sijamsikia akitia neno kwenye mkataba wa DP.
Zitto Kabwe vivyo hivyo.
Utawasikia chawa?Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi
Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia
Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media
Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo
Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema
Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu
Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?
Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Una haraka sana ! mkataba ni milele bado unataka tulete bunduki zote sasa ?Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi
Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia
Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media
Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo
Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema
Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu
Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?
Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Wewe ndio mpumbavu.Wanawaona wapumbavu,DP wa namiliki Bandari USA UK CHINA INDIA CANADA AUSTRALIA na nchi kibao za Afrika,sasa nyinyi mara wameuziwa mara wamekodishwa miaka 100 mara milele,kumbe wamepewa kuendesha sehemu tu.ambayo zamazi walipewa TICS
Kwa sasa wewe ndiye unategemewa kuongoza jahazi.Wale wazee walishaitumikia nchi sana.Wakati ni wako sasa.Usijifiche kwenye vivuli vyao.Walianza kuitumikia nchi wakiwa vijana wadogo sana.Ni muda wako huu!Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi
Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia
Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media
Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo
Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema
Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu
Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?
Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Hao wote ni wadiniHawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi
Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia
Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media
Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo
Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema
Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu
Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?
Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Aliponishangaza ni aliposema Kagame anavyofanya ni sahihi.Kwamba hana dosari yoyote katika utawala wake.View attachment 2702081
Tarehe 30 Julai 2023 Jenerali Ulimwengu katika muendelezo wa mahojiano exclusive akiangazia masuala ya kisiasa, kidiplomasia, kiuchumi, kijamii na kiusalama. Jongea katika mtandao wa The Chanzo kufuatilia muendelezo wa mahojiano ya mwaka huu 2023.
Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi