Ulimboka yupo sana Nyumbani kwake
Kipindi kile alikua Rais wa chama cha Dakitari
Saiz ni Doctor wakawaida sasa utamsikia wapi
Ila kama unashida naye fika Ubungo Riverside pale Angalia kwa juu kama unaenda kibangu utaona kigorofa juu kimeandikwa Kidamai pita chini yake hapo kwenye kichochoro nyumba kama ya tano tu utakua umefika kwa wazazi wake waulize yupo wapi watakueleza yupo wapi