Yupo wapi Dotto Bulendu?

Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,063
2,983
wasalaam,
ni takribani wiki tatu sasa tangu kipindi cha JiCHO LETU NDANI YA HABARI" Kiache kwenda hewani. kinaruka kila Jumamosi saa 1:30 -3:00 asubuhi. mwandaaji wa kipindi ni Dotto.
bwana dotto ameweza kujipambanua na wandishi, wandaaji na wahariri wengi hapa nchini kwa umahiri wake wa kujadili habari kihabari zaidi. mwandishi anaibua, kuhoji na kudadisi habari kutoka engles za habari.
kwa wiki mbili hivi kipindi kimekuwa hakipo hewani.
Nini kimetokea? au nacho kimeshafungiwa wakuu?
Dotto bulendu ni mwanachama hapa tupe maelezo ya kinachoendlea mkuu.
wadau tunaikosa chai yetu ya asubuhi jumamosi.
asante.
 
Kuna shida fulani ndani ya hiyo TV ya star times. Ni karibu wiki ya tatu sasa vipindi va asubuhi haviruki hewani ikiwemo hicho cha jicho letu ndani ya habari. Na watangazaji wengi ndani ya vyombo vya habari vya hicho kituo cha Dialo kuanzia radio free africa, kiss fm na star tv hawasikiki. Huenda kuna mgogoro wa malipo. Vipindi vingi hasa vya uchambuzi haviruki hewani.
 
nadhani TRA wamefungia vipindi vyake kwa sababu Sahara media wana deni kubwa.. si unakumbuka waliwahi kupigwa kufuli
 
Kuna shida fulani ndani ya hiyo TV ya star times. Ni karibu wiki ya tatu sasa vipindi va asubuhi haviruki hewani ikiwemo hicho cha jicho letu ndani ya habari. Na watangazaji wengi ndani ya vyombo vya habari vya hicho kituo cha Dialo kuanzia radio free africa, kiss fm na star tv hawasikiki. Huenda kuna mgogoro wa malipo. Vipindi vingi hasa vya uchambuzi haviruki hewani.

Ulikua una maanisha nini hapa mkuu?!
 
Halafu Cha kushangaza katika Taifa letu Soudy brown wa Shilawadu Ni maarufu Kuliko Dotto Bulembo hata Kama uta assess Umaarufu Wao kwenye Vyuo vya uandishi wa Habari Na Kwenye corridor za Media zetu

Dotto Ni mtaalam sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom