kuna list ya Swebe, Nyamayao, Kibakuli, Muhogo mchungu, Bambo (sio alivyo sasa) Zembwela, Max (RIP) hiki kikosi hata hizo tamthiliya zenu za The Young & Rest less, Days of Our lives, The Bold & Beatiful, Sunset Beach n.k hazikufua dafu, ikifika wakati wa Swebe baba ndio anashika remoti, Jmosi kuamkia J2 utaipenda! Long live ITV na Mkiti wako