Kuna kipindi niliwahi kusikia kuwa alitimkia JKT RUVU, wapi Amavubi aje atupe jibu hapa!!!!ndio huyo huyo.Nilikuwa Nimekosea heading
alikua na kipaji cha urefu na kujaziamwombeki alikuwa na kipaji kipi mbona alikuwa wa kawaida sana.angekuwa na uwezo angepata timu uarabuni
HATA cHUJI HANA KIPAJI? Mbina hakupata timu huko umangani?Mwombeki alikuwa na kipaji kipi mbona alikuwa wa kawaida sana.angekuwa na uwezo angepata Timu Uarabuni
bado yupo simba? au na yeye ni muathirika wa bandika bandua za hanspope..all in all simba mmeua kipaji chake.
Jamaa alikua anapga sahani 10 za ubeche wakati yupo pamba