mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Katika kesi za serial rapists na serial killers hii tabia imetajwa zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali.
Hua inaitwa 'voyeur' hii ni kama kupiga chabo. Yaani kuna binadamu wana hii fetish, kama vile wewe unavyopenda miguu kuna mwingine anapenda kula chabo.
Kama unahisi hii ni fetish ya ajabu kabisa itakua bado haujakutana na emetophilia, necrophilia, climacophilia au scatophilia.
Google at your own risk
Kuna jamaa yangu pia huwa anawalipa watu watiane mbele yake huku yeye akila mirungi taratiibu na kushushia na kilevi, anasema mwenyewe huwa anasikia raha sana.
Na hiyo mtu ni wewe!!Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau
Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi?
Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia sauti za mwanamke anapelekewa moto eti yeye ndo anaenjoy kweli??
Tena anasema kabisa zile kelele zinamfanya afike mshindo kabisa bila hata kufanya mapenzi, kweliiii???
Anaendelea kusema huwa ana tabia ya kwenda lodge analipia chumba kabisa kisha anasubiria watu wengine waingie chumba cha jirani ili aanze kuwasilikiza wakiwa wanafanya mapenzi.....Duuuuh!!!!
Hii kitu jamani imekaaje? Binafsi zile sauti nikizisikia uwa zinaniharibu kisaikilijia ,so uwa navaaga earphones au naondoka kabisa eneo ilo
Kumbe kuna wengine ndo wanazipenda na ndo starehe zao? hii imekaaje wakuu.....
Dunia ina maajabu sana aiseeee
Hayo mambo yapo Yesu hajazaliwa.Duuuh,mkuu ndo kusema nipo nyuma ya muda dunia inakwenda kasi sana au?
ayo ma emetopgiliha na climacophilia ndo ma nini tena?
Naenda google nowKatika kesi za serial rapists na serial killers hii tabia imetajwa zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali.
Hua inaitwa 'voyeur' hii ni kama kupiga chabo. Yaani kuna binadamu wana hii fetish, kama vile wewe unavyopenda miguu kuna mwingine anapenda kula chabo.
Kama unahisi hii ni fetish ya ajabu kabisa itakua bado haujakutana na emetophilia, necrophilia, climacophilia au scatophilia.
Google at your own risk
Nimeenda...hadi nimeogopa🤣🤣🤣Katika kesi za serial rapists na serial killers hii tabia imetajwa zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali.
Hua inaitwa 'voyeur' hii ni kama kupiga chabo. Yaani kuna binadamu wana hii fetish, kama vile wewe unavyopenda miguu kuna mwingine anapenda kula chabo.
Kama unahisi hii ni fetish ya ajabu kabisa itakua bado haujakutana na emetophilia, necrophilia, climacophilia au scatophilia.
Google at your own risk
You are welcome 😅Nimeenda...hadi nimeogopa🤣🤣🤣
DUNIANI KUNA:-Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau
Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi?
Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia sauti za mwanamke anapelekewa moto eti yeye ndo anaenjoy kweli??
Tena anasema kabisa zile kelele zinamfanya afike mshindo kabisa bila hata kufanya mapenzi, kweliiii???
Anaendelea kusema huwa ana tabia ya kwenda lodge analipia chumba kabisa kisha anasubiria watu wengine waingie chumba cha jirani ili aanze kuwasilikiza wakiwa wanafanya mapenzi.....Duuuuh!!!!
Hii kitu jamani imekaaje? Binafsi zile sauti nikizisikia uwa zinaniharibu kisaikilijia ,so uwa navaaga earphones au naondoka kabisa eneo ilo
Kumbe kuna wengine ndo wanazipenda na ndo starehe zao? hii imekaaje wakuu.....
Dunia ina maajabu sana aiseeee
DUNIANI KUNA:-
-Starehe za ajabu
-Magonjwa ya akili ya kutisha
-Viroja vya kuchekesha kupitiliza
-Matumizi ya vilevi hatarishi kwa afya ya mwili na akili
SASA,Mchagulie yupo kundi gani!
Umesahau tu kukumbusha hayo yote yanahusishwa na magonjwa ya akiliKatika kesi za serial rapists na serial killers hii tabia imetajwa zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali.
Hua inaitwa 'voyeur' hii ni kama kupiga chabo. Yaani kuna binadamu wana hii fetish, kama vile wewe unavyopenda miguu kuna mwingine anapenda kula chabo.
Kama unahisi hii ni fetish ya ajabu kabisa itakua bado haujakutana na emetophilia, necrophilia, climacophilia au scatophilia.
Google at your own risk
Sina uhakikaUmesahau tu kukumbusha hayo yote yanahusishwa na magonjwa ya akili
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app