" Yupo Dilemma "

Mwambie jamaa yako kuna tofauti ndogo Sana Kati ya upendo na hisia . Afanye maamuzi ya busara ,Kama binti alisikiliza ushauri wa mama mwanzo asidhani kwamba atashindwa kumsikiliza tena wakirudiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonge la ushauri zingatia ukampe huyo unae muuita hamaa yako na kama ni ww mwenywe uchukue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unampa ushauri gani jamaa maana yeye bado anataka kuishi na mtu ambaye amemsikia akipanga na mama yake jinsi ya kumuibia na kumhujumu!?
Najaribu kuwaza ni mambo gani mengine wanamfanyia jamaa ambayo hajayaskia wala hayajui nabaki kumhurumia tuu
 
Usijihangaishe na huyo jamaa, atamrudia tu huyo mpuuzi. Kenge kusikia mpaka atoke damu masikioni.
 
Labda kapigwa chuma kimoja hatari ndio maana anahaha
Sasa unampa ushauri gani jamaa maana yeye bado anataka kuishi na mtu ambaye amemsikia akipanga na mama yake jinsi ya kumuibia na kumhujumu!?
Najaribu kuwaza ni mambo gani mengine wanamfanyia jamaa ambayo hajayaskia wala hayajui nabaki kumhurumia tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…