Zoezi la kijinga sana kwa zama hizi.Subiri amalize mkesha.
Nani alikuambia mfunga buti ni mpenzi wa kuwa naye. Fanya namna nyingine MekuAisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu
Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana
Je apo nifanyeje?
Unahisi zile kazi kwa teknolojia yetu ya kibongo usipojitoa akili utafanya kazi.Zoezi la kijinga sana kwa zama hizi.
Mkesha unaondoa akili
KaushaAisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu
Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana
Je apo nifanyeje?
Kosa utalofanya ni kumtafuta. Akikutafuta mtafute akiuchuna na wewe uchune. Akiuchuna ukiendelea kumtafuta imekula kwako.Aisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu
Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana
Je apo nifanyeje?
Ni kweli ila kama ushafuatilia kozi ya SAS kuna kitu inaitwa resistance to interrogation au wale US Navy SEAL wana kitu kwenye intro yao wanaita Hell week hayo madude ni muhimu mno kwenye hiyo shughuli.Zoezi la kijinga sana kwa zama hizi.
Mkesha unaondoa akili