Yupi unamkubali zaidi??

9- jackie the living legend-mr nice guy na rush hours 1,2,3 hizi hapana

1-jason statham transporter 1,2,3 death race the bank job

5-anord shwerzniger terminator hizo zingine angalieni nyinyi

2-slyvester stallone -Rambo 4 ndio picha bora ya kivita

6- Bruce wills -Tears of the sun and die hard films

7-dominic Torreto -fast and farious

4-chuck norris Delta force and missing in action

8- Van Damme - blood sport cyborg ila muongo hata akipigwa kichwani anashika tumbo tu

3-Dolph ngumi yake ina kilo 20 usiombe akuguse expendables
 

expendables ni shida
 

Namba 1 & 7 hawa ni vijana wa digitali. Wengine waliobaki hapo ni wakongwe wa filamu za kibabe. Nakumbuka enzi za vibanda umiza...weekend nikichomoka asb nitarudi jioni halafu nafikia kwenye fimbo. Enzi za kina commando suzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…