Siamini macho yangu, kama kwel heshima, utu, aman na upendo kama vinaweza kuwa kutu tena isiyoweza futika moyoni mwangu. Rafiki yangu kala mzigo kwa demu wangu ambae ni shemeji yake na yeye akiwa na mke na watoto wawili, kweli huu ni utu wadau?
Hakuna kitu kama hicho..! Ni huyo tuu mpenzi wako hana adabu na ameshindwa kukuheshimu mpaka akatembea na rafiki yako...! Kwa kifupi wote wana makosa ila mimi namlaumu zaidi mpenzi wako..!!
Mpz wako ndio tatizo kubwa hakujiheshimu kwa shemeji yake ndo maana akakubalina pia inawezekana hana mapenzi ya that kwako ndo maana kaamua kufanya hayo.