yupi mwema kati ya hawa

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
A.mchonga majeneza anakuombea
ufe iliapate mauzo.
B.Polisi anakuombea ufanye
uhalifu ili akukamate.
C.Mwizi nae anakuombea ufanikiwe
ili akuibie.
D. muuza dawa anakuombea uumwe ili auze dawa
So nani bora kuliko wote
 
A.mchonga majeneza anakuombea
ufe iliapate mauzo.
B.Polisi anakuombea ufanye
uhalifu ili akukamate.
C.Mwizi nae anakuombea ufanikiwe
ili akuibie.
D. muuza dawa anakuombea uumwe ili auze dawa
So nani bora kuliko wote

Mwizi nikifanikiwa naweka ulinzi .
 
A.mchonga majeneza anakuombea
ufe iliapate mauzo.
B.Polisi anakuombea ufanye
uhalifu ili akukamate.
C.Mwizi nae anakuombea ufanikiwe
ili akuibie.
D. muuza dawa anakuombea uumwe ili auze dawa
So nani bora kuliko wote

Bora mwizi kuliko hao wengine kwa sababu angalau yeye anaonyesha hata kawema kidogo kakukuombea ufanikiwe ukilinganisha na hao wengine. muuza majeneza ndo mbaya kuliko wote hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…