Yupi mpenzi wa kweli?

Yupi mpenzi wa kweli?

chingas

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
261
Reaction score
113
Habari za weekend wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo maospitalini na majumbani, tusichoke kumuomba mwenyezi mungu atujalie afya njema.

(topic)
Mabibi na Mabwana leo hii nimekuja apa barazani na maswali kidogo ambayo mara nyingi huwa najiuliza na kukosa majibu sahihi, Ivi ni wapi unaweza kukutana na mpezi wa kweli kati ya sehumu izi apa?
(1) ni yule uliokutana nae mtaa mmoja au jirani!
(2) ni yule uliokutana nae shuleni au chuoni!
(3) ni yule uliokutana nae kwenye matatizo!
(4) ni yule uliokutana nae kwenye raha au starehe!
(5) ni yule uliokutana nae safarini!
(6) ni yule uliotafutiwa na wazazi!
(7) ni yule muliokutana nae kwenye facebook! au alikosea namba
(8) ni yule mulikutana nae kwenye ibada -kanisani au kwenye shuhuli!
(9) ni yule mjane alioachwa na jirani yako!
(10) au ni yule muliokutana nae ofisi moja
Naombeni majibu ya maswali aya 10 na mwenye kuweza kudadavua au kutoa ushuhuda. uwanja ni huu
 
Umesahau yule mliyekutana naye JF.

Last edited by a moderator:
habari za weekend wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo maospitalini na majumbani, tusichoke kumuomba mwenyezi mungu atujalie afya njema.
(topic)
mabibi na mabwana leo hii nimekuja apa barazani na maswali kidogo ambayo mara nyingi huwa najiuliza na kukosa majibu sahihi, Ivi ni wapi unaweza kukutana na mpezi wa kweli kati ya sehumu izi apa?

1. Jifunze matumizi ya H kwenye red, ili usiwe unaharibu utamu wa thread kwa kukoseakosea kiswahili sanifu
2. Hakuna kanuni/principle inayoweza kukupa jibu sahihi. Hapo inategemea tu mke/mume mwema waweza kutana naye popote bila kujali sehemu hizo ulizozitaja. Cha muhimu ni kumwomba Mungu akusaidie upate mwenzi wako mwema
 
umesomeka MR MIDFIELD iyo h nitaifanyia kazi-guten nacht bruder
 
Umesahau yule mliyekutana naye JF.

aya isiwe tabu kaka,
(11) ni yule uliekutana nae kwnye jamii forums, badoo, twitter , whats App, tango au kwa sangomaa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Uliekutana nae kwenye maombi...

sababu zipi unadhani yule uliekutana nae kwenye maombi anaweza kuwa mpenzi wa kweli!. Je wewe umebahatika kupata mweza kwenye maombi? Je mweza wako ana upendo wa kweli? na Je bado munaudhuria kwenye maombi?
 
Wa mtaa mmoja mnajuana vizur na istoshe hata family zote mtakua mnajuana na hatokuzingua na chochote coz wawajua vizuri hali yao ya kimaisha hao wa kwenye stareh sheh mtihan
 
Ni yule mliyekutana kwenye biashara ya kukodisha mwili
 
habari za weekend wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo maospitalini na majumbani, tusichoke kumuomba mwenyezi mungu atujalie afya njema.
(topic)
mabibi na mabwana leo hii nimekuja apa barazani na maswali kidogo ambayo mara nyingi huwa najiuliza na kukosa majibu sahihi, Ivi ni wapi unaweza kukutana na mpezi wa kweli kati ya sehumu izi apa?
(1) ni yule uliokutana nae mtaa mmoja au jirani!
(2) ni yule uliokutana nae shuleni au chuoni!
(3) ni yule uliokutana nae kwenye matatizo!
(4) ni yule uliokutana nae kwenye raha au starehe!
(5) ni yule uliokutana nae safarini!
(6) ni yule uliotafutiwa na wazazi!
(7) ni yule muliokutana nae kwenye facebook! au alikosea namba
(8) ni yule mulikutana nae kwenye ibada -kanisani au kwenye shuhuli!
(9) ni yule mjane alioachwa na jirani yako!
(10) au ni yule muliokutana nae ofisi moja
Naombeni majibu ya maswali aya 10 na mwenye kuweza kudadavua au kutoa ushuhuda. uwanja ni huu

(11) Au kama yule wa UGANDA DADA TUMAILE.
 
Hakuna sehemu sahihi na vile vile kila sehemu ni sahihi,kwa sababu utasema sehemu flani ni sahihi ila kuna wengine walikutana sehemu hizo sa hivi wanajuta,ndiyo kusema muda wowote na popote ni sahihi na vile vile siyo sahihi.
 
Ni yule ambao huwez lala bila kuongea nae, 5years baada ya kuanza uhusiano naye!
 
Wa mtaa mmoja mnajuana vizur na istoshe hata family zote mtakua mnajuana na hatokuzingua na chochote coz wawajua vizuri hali yao ya kimaisha hao wa kwenye stareh sheh mtihan

huu ni uongo hakuna sehemu sahihi cha msingi mpenzi lazima awe mchumba kwanza at least miaka 3 ili mjuane vizuri haijalishi mekutana wapi.
 
Mpenzi wa kweli ni Mungu.Hawa wenngine hata ukutane nao guest house au barabarani haina kwikwi wala nini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom