Yupi kapendeza

kuna watu wanavaa hivi wanapita mitaani mnawaacha kweli kuna mzazi ana mtoto anavaa hivi anajisifia na yy amezaa kweli,
 
Fashion za kipuuzi hizi msiiiiiiiiew..... Utakuta litoto la kiume limejitundika huu upuuzi jinga kabisaa
 
Fashion za kipuuzi hizi msiiiiiiiiew..... Utakuta litoto la kiume limejitundika huu upuuzi jinga kabisaa
Kwani kwa viboga kuna aibu gani kutoka na hicho kivazi?
Tatizo mleta uzi hajafafanulia hadhira kuwa hiyo ni fashion ya gay.
Ushasikia lini firauni kapendeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…