Yupi bora kati ya mke au ndugu?

Yupi bora kati ya mke ama ndugu?!
Kuna bro wangu mmoja swala la ndugu usimwambie kitu yupo radhi amtimue mkewe anasema ndugu zake wamwachie lakini kuna bro mwingine anasema habari ya mke wake na familia yake ndugu wasiingilie wala wasimpangie wamwache na maisha yake na mkewe.......??!!??!!!
Kuna vingine haviringanishwi... COMPARISON INATAKIWA IWE KATI YA APLE NA APLE...
 
usawahi kushindanisha kipi bora kati ya makalio na kichwa ??
 
swali la kib.wege kweli,,,kwa nn unawachunguza kaka zako? kwanza kaka unao peke yako? afu then google nani bora...
 
huyo ambaye hataki mke mwambie akitaka mgegedo awaombe ndugu wampe
 
Kila mtu ana nafasi yake...upendo wa ndugu na upendo wa mke ni tofauti kabisa.
 
Nilisahau kumbe vyuo vimeshafunguliwa mmerudi toka vijijini na fujo zenu..........Ukikuwa utajua tofauti ya moto na baridi
 
subiri ukioa utapata majibu mazuri tu wacha kutumia reference za kina bro
 
Back
Top Bottom