Yupi bora kati ya mke au ndugu?

Kuna vingine haviringanishwi... COMPARISON INATAKIWA IWE KATI YA APLE NA APLE...
 
usawahi kushindanisha kipi bora kati ya makalio na kichwa ??
 
swali la kib.wege kweli,,,kwa nn unawachunguza kaka zako? kwanza kaka unao peke yako? afu then google nani bora...
 
huyo ambaye hataki mke mwambie akitaka mgegedo awaombe ndugu wampe
 
Kila mtu ana nafasi yake...upendo wa ndugu na upendo wa mke ni tofauti kabisa.
 
Nilisahau kumbe vyuo vimeshafunguliwa mmerudi toka vijijini na fujo zenu..........Ukikuwa utajua tofauti ya moto na baridi
 
kila kimoja kina ubora wake .. na huwezi kuvilinganisha
 
subiri ukioa utapata majibu mazuri tu wacha kutumia reference za kina bro
 
Ndugu wa kike yaani dada zako ni moto wa kuotea mbali.Wa kiume hawana Noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…