unawaza unzizi tu wew,Kati yao nani ni bingwa wa kumweka kiporo mwenzie hasa akiwa na wapenzi wawili watatu?
unawaza unzizi tu wew,
Mfano,nina mpenzi wangu.alafu nakuwa na mwingine wa pili.baadaye nawapima wote wawili.yupi anafaa.wote hawajuani.sasa ni yupi ntamuoa sijui.wote nawapenda.lakini namwangalia mmojaa nasema huyu ntamuoa yule akizingua.na kiporo ndo chanzo cha uchumba kuvunjika.sasa hujaelewa nn?
Duh! Kazi ipo asee... Huyu sijui katumia lugha ya wapi hii!?