MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 466
- 101
Ni rifikiria umekuja kupinga hoja zake kwa kukanusha aliyotasema ukiwa na ushahidi.Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda.
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
Darasa la saba alirudia baada ya kufeli. . Akili ya mtu ni utotoni sio ukubwani umejua majukumuProfessor wangu makini huyu
Alichokisema prof ndiyo ukweli kuhusu watanzania wengi.Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda.
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
Miongoni mwahao nayeye au kwenye familly yake wapo.Alichokisema prof ndiyo ukweli kuhusu watanzania wengi.
Wapo kwa sababu na familia yake ni watzMiongoni mwahao nayeye au kwenye familly yake wapo.
akili ya utoto ndio itaiwezesha nchi kukua kiuchumi? ni wangapi wakati wa utoto wao walikuwa ni watu mbumbumbu lakini walikuja kua wanasayansi wakubwa ukubwani. ungejua vikwazo vya utotoni na ukubwani, nina hakika ungefuta hii comment ili wenzako wasibahatike kuisoma wakaijua akili yako vizuriDarasa la saba alirudia baada ya kufeli. . Akili ya mtu ni utotoni sio ukubwani umejua majukumu
Huo ndio ukweli wakati mungine tukubali tukiambiwa ukweli japo mchungu
Yeye kawekeza wapi? Au yeye siyo Mtanzania?Alichokisema prof ndiyo ukweli kuhusu watanzania wengi.
Alifeli kwani alipata division ngapi darasa la saba? Kwa hiyo wote aliomaliza darasa la saba ambao hawakwenda shule za sekondari hasa kwa kipindi hicho alicosoma Pro. Muhongo walikuwa wamefeli mtihani? NDIO MAANA SERIKALI INATUMIA NENO "WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA ELIMU YA SEKONDARI" NA SIYO "WALIFAULU DARASA LA SABA". Miaka ya nyuma shule za sekondari zilikuwa chache sana hivyo ni wanafunzi wachache tu waliomaliza darasa la saba waliokuwa wanaweza kuchukuliwa/kuchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari. Siyo kwamba wengine walioachwa wote walikuwa wamefeli la hasha! Pia kulikuwepo na kitu kinaitwa kubalance kiwango cha wanafunzi wanaoingia sekondari katika mikoa yote. Kuna mikoa mingine ufaulu ulikuwa ni mkubwa mno kuliko mikoa mingine hivyo serikali ilikuwa inawaacha wanafunzi wengi katika mikoa yenye ufaulu mkubwa ili pia kupata balance ya mikoa mingine pia kupeleka wanafunzi shule za sekondari (kutokana na uchache wa shule za sekondari wakatihuo). Katika kubalance idadi ya wanafunzi katika kila mkoa na hata wilaya ndani ya mikoa, kuna mikoa au wilaya nyingine hasa ambazo hazikuwa na mwamko mkubwa wa kielimu alama za ufaulu zilishushwa chin kidogo kulinganisha na mikoa/wilaya ambazo zilikuwa na mwamko mkubwa wa kieleimu! KWA HIYO SIYO KILA AMBAYE HAKUCHAGULIWA KWENDA SEKONDARI (HASA KWA WAKATI HUO) ALIKUWA AMEFELI!Darasa la saba alirudia baada ya kufeli. . Akili ya mtu ni utotoni sio ukubwani umejua majukumu
Wakat Muhongo anamaliza darasa la saba wanafunzi walikuwa wanafaulu darasa la saba, kuchaguliwa imeanza kwenye miaka ya 1990DIO MAANA SERIKALI INATUMIA NENO "WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA ELIMU YA SEKONDARI" NA SIYO "W
Wala hajakosea. Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma na kufikiri. Wanapenda kufatilia burudani na udaku tu ila mambo ya msingi hola!Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda.
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
Hakuna cha uongo alichokisema ukizingatia "CHEREHANI TANO NI KIWANDA NA WA DARASA LA SABA NI WELEDI KULIKO WABOBEZI!!"Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda.
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
Hata Mimi lasaba nilifeli. Ndiyo maana npendaDarasa la saba alirudia baada ya kufeli. . Akili ya mtu ni utotoni sio ukubwani umejua majukumu
Si yule aliesambaza magaazeti chini mkuu?Professor wangu makini huyu
Wewe unaona alikosea angetuita Junglemen maana kuyakubali na kuunga juhudi za viongozi wanaofuata law of jungle kutuongoza, alitupendelea kutuita washamba.Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda.
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .