Yule ni mke wa fulani

Bdw...kuna wanaume wanapenda wake zao wavae kimalaya malaya..!mradi wapendeze tu..!mfano mm hubby anavutiwa nivae vigauni vifupi..wewe ni nan uanze kuninyooshea kidole[emoji847][emoji847][emoji847]
Huwa unalifurahia hili mapaja yako mazuri ambayo inastahili ayaone huyo Hubby wako wayaone na wengine?
 
Siku hizi mnawaza mkata mauno sijui Biriani ndo maana ndoa hazidumu.Mama Bora au mke Bora ana vipimo vyake.Na mnapochagua mke hakikisha hufanyi Makosa maana anabeba nafasi aliyoiacha Mama yako Mzazi.Kukufulia,kukuuguza unapoumwa ikibidi kukulisha,kutunza Siri zako.Kuna Wanaume vikojozi,wazee wa kukoroma Kama Simba hacha wale wa Mishuzi uck kucha ukichanganya na kutoa mimate mdomono a.k.a Udenda.Ukipata mke mwema anaepambana upande wako na kukuombea na watoto wako wanakua na afya Bora,hekima mwambie Mungu Asante.Miuno na staili ni kwa Michepuko huko unampa elfu ishirini unamkunja mpaka anaachia ushuzi Kama akatiki KIUNO unampa nusu.Kwa mujibu wa team eat and run wazee wa kuweka kambi na kusahau familia zenu pita pembeni tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…