katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempendaKuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu co worker ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Husband material haya bhanaAsanteni sana endeleeni kutukubalia sisi husband material
TrueKuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana ukagoma![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda
Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anamaoni yake ila ushauro wangu ndio huo tu nimeona nishee naweweFuata moyo wako mama kuna yule unampenda nae walau anarespond huyo ndo wa kumshikilia
Tatizo wadada mko desperate sana na kuolewa...kuliko kuolewa na mtu usie na mapenzi nae bora kuitwa msimbe nk....
Ni mtazamo wangu tu ambao unapishana na katoto kazuri kiaina
Sent using Jamii Forums mobile app
ukijifunza kumpenda anayekupenda ni rahisi sanaUjue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivip mkuu...nisaidie hapa!ukijifunza kumpenda anayekupenda ni rahisi sana
MImi ni shuhuda wa hili
Kila mtu anamaoni yake ila ushauro wangu ndio huo tu nimeona nishee nawewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mungu huwa hatuangushi tulio seriousKila mtu anamaoni yake ila ushauro wangu ndio huo tu nimeona nishee nawewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwelii.Kuna mdada kaniambia maneno ya kama huu uzi jana tu,muda ukishaenda hawa wenzetu ndio uwa wanajuta na kukumbuka yaliyopita lkn inakua too late!
Kila mtu anamaoni yake ila ushauro wangu ndio huo tu nimeona nishee nawewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo bila ubongo ni mzigoFuata moyo wako mama kuna yule unampenda nae walau anarespond huyo ndo wa kumshikilia
Tatizo wadada mko desperate sana na kuolewa...kuliko kuolewa na mtu usie na mapenzi nae bora kuitwa msimbe nk....
Ni mtazamo wangu tu ambao unapishana na katoto kazuri kiaina
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika yote uliyoyasema, wakumbuke hili hata kama watasahau hayo yote. Classmate wangu waliokuwa wanachagua bado wako single ama ni ma-single mother in their 40s. Walioamua kuwa na sisi, ndio wana familia zao. Siyo matajiri lakini wanakula, wanavaa, wana usafiri, sehemu ya kulala na watoto hawaendi IST lakini wanakwenda shule nzuri. Sasa hivi hao wenzetu waliokuwa wanatafuta wapenzi kutoka familia tajiri wakiolewa nadhani itakuwa na wanaume wagane.Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.