ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,267
- 2,519
Je ni kweli kinachozungumzwa kina ukweli juu ya alipo Waziri huyu muhimu hapa Bolivia? Katika saa 24 zilizopita zimeiacha familia yake ikiwa na taharuki kubwa. Hawana pakwenda kusemea.
Mliopo huko nyumbani naombeni na nyie mtusaidie kwenye uchunguzi na mtujulishe kwa kupitia "media" za kimataifa maana huku Bolivia vyombo vya habari vimeminywa sana haviwezi kujadili suala hili kwa uwazi.
Sio lazma uelewe, mnisalimie sana huko nyumbani, huku Bolivia tunajiandaa na mvua za masika sasa! Mtuombee mafuriko yasituletee maafa.
Kwaherini.