Yuko wapi Waziri wa Kwacha wa Bolivia?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
987
1,000
Je ni kweli kinachozungumzwa kina ukweli juu ya alipo Waziri huyu muhimu hapa Bolivia? Katika saa 24 zilizopita zimeiacha familia yake ikiwa na taharuki kubwa. Hawana pakwenda kusemea.

Mliopo huko nyumbani naombeni na nyie mtusaidie kwenye uchunguzi na mtujulishe kwa kupitia "media" za kimataifa maana huku Bolivia vyombo vya habari vimeminywa sana haviwezi kujadili suala hili kwa uwazi.

Sio lazma uelewe, mnisalimie sana huko nyumbani, huku Bolivia tunajiandaa na mvua za masika sasa! Mtuombee mafuriko yasituletee maafa.

Kwaherini.
 
mapinduzi daima

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
1,592
2,000

Yuko salama huyu Mzee wa Makaratas ya thamani
Akiwa na majukumu MAKUU ya kitaifa.

Ondoeni Shaka na wasiwasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom