R richaminja Member Joined Dec 31, 2016 Posts 90 Reaction score 41 Feb 9, 2017 #1 Wadau wenzangu, Leo nimeshangaa sana kutomwona PM kwenye kiti wakati anajua Jana bunge lilikua na maswali na hoja ngumu ambazo leo pengine alitakiwa kutolea ufafanuzi. Spika naye hajatoa ufafanuzi PM yupo wapi. Je ni sahihi?
Wadau wenzangu, Leo nimeshangaa sana kutomwona PM kwenye kiti wakati anajua Jana bunge lilikua na maswali na hoja ngumu ambazo leo pengine alitakiwa kutolea ufafanuzi. Spika naye hajatoa ufafanuzi PM yupo wapi. Je ni sahihi?
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,182 Reaction score 8,005 Feb 9, 2017 #2 kazongwa na uoga...
Phd Hewa JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 572 Reaction score 466 Feb 9, 2017 #3 Kaingia Chaka au Majukumu ni Mengi