K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Dec 28, 2019 #1 Natamani nijue kuhusu huyu dada.Jinsi alivyopokea suala la Nguza Vicking na mwanae Papii kocha kufungwa kifungo cha maisha. Je alijisikuaje kupokea taarifa ya kutolewa kwao gerezani kwa msamaha wa Rais? Tafadhali kama kuna mtu anafahamu namkaribisha katika Uzi huu. Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani nijue kuhusu huyu dada.Jinsi alivyopokea suala la Nguza Vicking na mwanae Papii kocha kufungwa kifungo cha maisha. Je alijisikuaje kupokea taarifa ya kutolewa kwao gerezani kwa msamaha wa Rais? Tafadhali kama kuna mtu anafahamu namkaribisha katika Uzi huu. Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,122 Dec 28, 2019 #2 Aiseee
Jalema JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 594 Reaction score 869 Dec 28, 2019 #3 Ashaolewa Sent using Jamii Forums mobile app