mara ya mwisho alikua Radio One - Itv. hawa ni LEGENDS wa sekta ya utangazaji HAPA TZ. katika kundi lao yupo Charles Hilary , Aboubakary Lyongo, Mikidadi Mahamudu.....ila yupo mmoja alifariki alikua anaitwa Dominic Chilambo,Abisai steven na yule aliekua akitangaza kipindi cha ngoma za asili pale RTD, Nasikia alifariki dunia mwanzoni mwa miaka ya tisini.