Yuko wapi uncle j. Nyaisanga..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi uncle j. Nyaisanga.....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by MtazamoWangu, Sep 7, 2009.

 1. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyu jamaa ni muda mrefu sana sijamsikia jamani...any data????
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Sep 7, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mara ya mwisho alikua Radio One - Itv. hawa ni LEGENDS wa sekta ya utangazaji HAPA TZ. katika kundi lao yupo Charles Hilary , Aboubakary Lyongo, Mikidadi Mahamudu.....ila yupo mmoja alifariki alikua anaitwa Dominic Chilambo,Abisai steven na yule aliekua akitangaza kipindi cha ngoma za asili pale RTD, Nasikia alifariki dunia mwanzoni mwa miaka ya tisini.
   
 3. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Umeulizwa, yuko wapi? Mjibu.
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Sep 7, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  amakweli nyani haoni kundule mbona wewe hujamjibu......hii ni mijadala iliowazi, huibua mawazo jaadidi, ufinyu wako wauelewa unataka kunifundisha kujibu, hii si 1+1=2 hapa ni kwanini 1+1=2 ? jieleza........athari za UPE elimu ya sekondari aka voda faster.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yupo Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani - based in Dar es Salaam

  Anapatikana sana mitaa yake ya zamani Sinza/Mwenge
   
 6. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bora mzee umemaliza zogo_Ona hawa hapa chini walishaanza vurumishiana maneno....

   
Loading...