Bila kusahau wale jamaa wa milioni kadhaa kwa kila dakika sikuizi hakuna cha taarifa ya habari wala magazeti au ndio kusema vyombo vyetu vya habari vilirambishwa?....maana mwanzoni kila walipo pelekwa mahakamani tulijuzwa kwa tv na magazeti lakini sikuizi kimya
"Daghaseta, post: 22223121, member: 318491"]Tiagi Masamaki ameachiwa huru leo na mahakama.[/QUOTE]
Ongezea, baada ya DPP kuliondoa shauri toka Mahakamani.